Studio19 Films
@19filmstz
登録者
再生回数
動画
API
200K
リアルタイムYouTube登録者カウンター
Loading Advanced Analytics...
Studio19 Films
Karibu Studio19 Films!
Hii ni channel yako pendwa inayokuletea filamu, tamthilia na vichekesho vya Kiswahili vilivyojaa ubunifu, burudani, fikra mpya na mafunzo ya maisha.
Katika Studio19 Films, tunaamini kuwa sanaa ni chombo cha mabadiliko. Ndiyo maana tunatengeneza maudhui yanayogusa maisha halisi, yanayoburudisha huku yakichochea fikra na kuchangia katika kuboresha jamii zetu.
Lengo letu ni kukuza na kuenzi utamaduni wa Kiswahili kupitia hadithi zenye maana, zinazobeba mafunzo, matumaini, na uhalisia wa maisha ya kila siku.
Tunafurahi sana kuwa wewe ni sehemu ya familia yetu. Subscribe, tazama, shiriki na tembea nasi katika safari hii ya simulizi zenye uzito na ladha ya kipekee.
Studio19 Films – Hadithi Zenye Maana.
Embed
YouTubeの登録者数、再生回数、クリエイター比較、マイルストーンをリアルタイムで追跡できます。
動画
I LOVE JESCA ❤️ EP 8 STARING HEMED CHANDE
Uploaded
2,893
再生回数
17
Likes
1
Comments
About RealtimeSubCount.com
YouTubeの登録者数、再生回数、クリエイター比較、マイルストーンをリアルタイムで追跡できます。